Hawa dreamwork pictures ni hatari sana

Anime ni subgenre ya animation based on manga. Anime zinatengenezwa sana japan, na lugha uwa ni kijapan, anime nyingi ni 2D na ni simple animations, zinakuwa ni series zenye stori ndefu, mfano: bizarre adventures of jojo, one piece, one punch, fullmetal archemist na zingine. muandishi umechanganya madesa
 
Kazi ya binaadamu hua haikose errores
 
  • Rango
  • Moana
  • Coco
  • Minois
  • Despicable me
  • Puss in boots
  • Shrek
  • How to Train Your Dragon
  • The croods
  • Zootopia
  • Madagascar (Penguins)
  • Baby boss
  • Finding nemo
  • Rango
The son of big foot. Jamaa katisha sana
 
Movie hd au hd movie?
 
Nimeangalia Animations nyingi sana lakini sikuwahi kufatilia hizo company.....
My favs,
Road to Eldorado's,
Rango,
Tangled,
Pocahontas,
Frozen,
Mulan,
Babyboss,
Hotel Transylvania,
Aladdin,
Atlantis (the lost empire)
Strange Magic,
Mr. Peabody,
Sinbad,
Moana,

Nikikumbuka nitaongeza.
 
Tangled na hotel transvania wanaisifu sana ngoja niitafute..
 
Hii rango niliion youtube ila bahati mbaya nikakutana na rango in swahili, niliichukia mpaka kesho. Kuna kile kipande cha jamaa anaiga miondoko ndipo napenda tu.
 
Hii rango niliion youtube ila bahati mbaya nikakutana na rango in swahili, niliichukia mpaka kesho. Kuna kile kipande cha jamaa anaiga miondoko ndipo napenda tu.


Mkuu za kiswahili zinakuwa na mbwembwe nyingi mpka inaboa
 
Angekuwa
Hebu weka nikacheke.. au alitafsiri Dj Afro
Afro hata nisingewaza maana jamaa mimi ndio namuelewaga (japo anazingua na mitusi yake) kuna jamaa mmoja sijui hata ni wawapi, yeye anarudia maneno yaleyale (inasikika sauti yake tu anabadilishaa kutokana na wahusika) halafu jamaa mwenyewe mshamba, ana sauti mbaya
 
Ila hakuna Animation niliyeona nikacheka sana kama Rango.. yani John Depp kaipatia sana kucheza. Hasa ukiangalia zile scene za jangwani na Bar. Yaani kanachekesha haka kinyonga. Mwenye Animation nzuri aniambie nizicheki Muvi zimenichosha!
Ukitaka kuona balaa la Jonny Depp mcheki kwenye pirates of the Caribbean halafu sijui kwa nini jamaa yuko underrated
 
mm sio mpenz wa movies lakn ni mpenz wa katuni balaaa yaan mr.Rango n balaaa😀😀
 
Aisee nimeangalia Hotel trasvania nimecheka sana Ile rafudhi ya Drac ipo kama ya Gru, napenda ile rafudhi sana. Hasa ya Gru
 
Naona wengi humu mmemention zile popular animations lakini kwangu mimi best top three animation ambazo nafikiri hazijulikani na watu wengi humu ni:-

1 - Ronal the barbarian

2 - Bad cat (hii ni ya uturuki lakini lugha ni kiingereza)

3 - hii animation inaitwa 9
 
Jaribu kuweka cover zake mkuu... Animation napenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…