Hawa dreamwork pictures ni hatari sana

Hivi kwa mwaka huu 2020 hakuna katuni mpya zilizotolewa maana mimi ni mpenzi mkubwa wa katuni sana zote na baadhi nimeshaziona nataka mwaka huu
 
Tuwekeze kwenye elimu tu mdau hakuna janja janja hapo..........
 
Hapana napenda zaidi screenwriting kua animator sijafikiria sana.
Animation ili iwe logical lazima ifuate equation hizi
v=v0+at. v = v 0 + at.
d=12(v0+v)t d = 1 2 ( v 0 + v ) t or alternatively vaverage=dt. v average = d t.
d=v0t+(at22)
v2=v20+2ad.
[emoji119][emoji119]
 
Dah! we jamaa ushaharibu mindset zetu
 
Ni kazi kweli. Kipande cha dakika 2 kinaweza kuchukua hata miezi.
Richard Williams aliandika kitabu cha "The Animator's Survival Kit" ni kizuri kwa kuanzia kujifunza.
 
Attachments

Hapana napenda zaidi screenwriting kua animator sijafikiria sana.
Animation ili iwe logical lazima ifuate equation hizi
v=v0+at. v = v 0 + at.
d=12(v0+v)t d = 1 2 ( v 0 + v ) t or alternatively vaverage=dt. v average = d t.
d=v0t+(at22)
v2=v20+2ad.
Nowdays animation ni rahisi sana unlike miaka ya zamani na kuna software kibao ambazo zimerahisisha process. Hakuna haja ya kuchora picha 24 kila sekunde, bali unakua na 2D au 3D characters ambao software inakuruhusu kuwa animate.
It's complicated but not that complicated!
 
Hivi kina nani wakitengeneza Donkey King!?wana balaa wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…