Elections 2015 Hawa elimu yao hawawezi kutuletea mabadiliko ni wajanja wajanja tu

Elections 2015 Hawa elimu yao hawawezi kutuletea mabadiliko ni wajanja wajanja tu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Vijana Weng Wanaonekana Kuto Reason, Wasomi Pia Wanafika Hatua Hawa Reason, Mi Nimegundua Wanaojiita Wasomi Hawana Weled Wa Kutosha, Orodha Ya Watu Wenye Elimu Ya Mashaka,
1. Tundu Lissu, Huyu Weled Wake Ulionekana Kuwa Juu Pale Alipokuwa Hajakutana Na Changamoto Kubwa, Lakin Lissu Ameteteleka Sana, Kaul Zake Zinatofautiana Sana Had Nakuwa Na Mashaka Juu Ya Uwezo Wake,
2. Kafulila , Huyu Ni Kijana Anaye Dandia Hoja Mara Nying ,japo Chache Anazibahatisha, Lakin Ebu Chunguza Uelewa Wake Ni Mtu Anayefuata Upepo Kwenye Kushabikia Mambo Bila Kukumbuka Comment Zake Za Zamani,
3. Mbatia Najua Lazima Hata Vyeti Vyake Havijawa Confirmed Tcu, Maana Alikimbia Udsm Akaenda Kupata Course Fup Ya Vyuo Vya Mtaan Uko Ulaya, Lakin Hana Uwezo Wa Kutatua Matatizo Ya Tanzania,
4. Lowassa Huyo Kasoma Lakin Degree Ya Ushereheshaj Na Mazingaombwe, Ndumba Wa Ndumba Hvo Elimu Yake Ni Hyo Japo Watu Wameanza Kudanganya Eti Kasoma Ualimu,
5. Sumaye Sijui Kama Ameshamaliza Ku Reseat Masomo Yake Ya Form 6 Pale Kituo Flan Posta,
 
britanicca kwanza jenga mtirirko wa andiko lako, weka msawaziko wa maudhui yake,tumia lugha yenye muwala, epuka kuchanganya lugha bila ya sababu za msingi, jitahidi kutokuwa kasuku kwa kukariri yasemwayo na wapotoshaji. Maana wenzio walishindwa kutafsiri "Bachelor of Arts in Education" wakaishia kusema Lowassa ana shahada ya maigizo toka Chuo Kikuu cha Dar es salaam, jambo ambalo wewe umelikariri!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom