thubutuuuuu..............Ngoma na Niyonzima ndani kwa mujibu wa Magazet ya leo .
Kwa nn mnakubali hao wote wataondoka simba sc. Magazeti hayaaminik 100%thubutuuuuu..............
Kwa hiyo wabaki hata kama wanashinda na njaa.....Simba wajitahidi hawa wasiondoke
1.Mkude
2.Juuko
3.Banda
Tukifanya kosa tutarudi kulekule kweney timu kukosa mabeki
Kwa hiyo wabaki hata kama wanashinda na njaa.....
Labda wawape limbwata wawe kama mazezeta ya klabu lakini katika ulimwengu wa maslahi....ni vigumu kubaki....ukizingatia usanii wa viongozi wa simba....
Aliyekwambia Wachezaji Simba wanashinda na njaa ni nani?
Mimi ninapoongelea wajitahidi...ni kukaa chini na kukubaliana mikataba mipya (Maslahi)
Timu yenye rekodi ya kuwalaza wachezaji kwa njaa ni Yanga...Ushahidi uko wazi kwa msimu huu ulioisha
Nadhani unakumbuka mvutano uliodumu kwa muda kadhaa kati ya klabu ya Simba na kiungo Jonasi Mkude huku kigezo kikubwa kikiwa ni masilahi.....
Hivyo basi utajua kuwa kinachowaweka wachezaji vilabuni ni maslahi na si vingine.....
Hivyo vilabu vijitahidi kuboresha maslahi ya wachezaje wake....itawavutia nyota wake wengi kubaki na hata kuja wengine zaidi.......
Tutasajili manyota mengi
factSimba wajitahidi hawa wasiondoke
1.Mkude
2.Juuko
3.Banda
Tukifanya kosa tutarudi kulekule kweney timu kukosa mabeki
Nanichekeshaga sana mashabiki wa Simba!Ngoma na Niyonzima ndani kwa mujibu wa Magazet ya leo .
Wameshakomaa sasa,tunachukua tunawaachia Opwi,Niyonzima na Madoido Ngoma......weeeeeeeeeeeeee,,,,,,weeeeeeeNyota saba wanaodaiwa kuiaga Simba;
Jonas Mkude
Ajib
Manyika Peter
Abdi Banda
Method Mwanjali
Novatus Lufunga
Juuko Murshid- @ MWANANCHI
Kwa maoni yangu bado nawakubali sana Jonas Mkude na Ibrahim Ajib sijui kwanini wanaondoka, lakini tusubiri tuone huenda wakaja wakali zaidi yao.
View attachment 516941
Mkuu mm ni Yanga Damu kwa upande wa Niyonzima inawezekana sbb jamaa niko naye mtaa mmoja analalamika Yanga wanavyomfanyia juzi kaondoka Rwanda aliwaomba ata wamlipie kod ya Nyumba mwezi 1 maana kodi yake inaisha na ela ya matumiz kuachia familia yake anavyoongea ktk simu tunamsikia sasa unategemea nn apo Simba wakimpandia Dau ato sign ? na Mkataba wake Yanga umeisha.Nanichekeshaga sana mashabiki wa Simba!
Hivi ni lini Mara ya mwisho mmebeba on-form player kutoka Yanga nyinyi ?