Hawa hawakuhitaji natural justice? Lowasa tuambie



Si hao tu

Ongeza na mwanasheria wa TANESCO aliyetoa amri afukuzwe mara moja lakini ikagonga mwamba, jamaa akasevu
 



Pole mama wachina wana msemo "mlango mmoja ukifungwa mwingine unafungiliwa" kuwa na subira....
 
LOWASSA yuko kama huyu paka kanyolewa kaishia kisikia baridi

kabaki manyoya kwenye kichwa na miguu tuuu

 
Hapa Lowasa anasound so selifish, labda huyo Mkurugenzi na Engineer wangeishia kufukuzwa kazi at the end of the day kwa uzembe wao kama taratibu zingefuatwa. Lakini wananchi wamefanya kosa gani hadi kutwishwa zigo la ongezeko la bei ya umeme? Where is their natural justice?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…