J jon billz jr Member Joined Sep 20, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Sep 21, 2012 #1 eti jmn ningependa kuuliza kwa wale ambao majina yao hayapo bodi ya mikopo inamaanisha hata hela ya chakula na stationary hawapati au?...
eti jmn ningependa kuuliza kwa wale ambao majina yao hayapo bodi ya mikopo inamaanisha hata hela ya chakula na stationary hawapati au?...
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Sep 21, 2012 #2 jon billz jr said: eti jmn ningependa kuuliza kwa wale ambao majina yao hayapo bodi ya mikopo inamaanisha hata hela ya chakula na stationary hawapati au?... Click to expand... Swali zuri,
jon billz jr said: eti jmn ningependa kuuliza kwa wale ambao majina yao hayapo bodi ya mikopo inamaanisha hata hela ya chakula na stationary hawapati au?... Click to expand... Swali zuri,
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Sep 21, 2012 #3 hawapati mkuu...
J jon billz jr Member Joined Sep 20, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Sep 21, 2012 Thread starter #4 dah xaxa wanafunzi 4000 kwel wanatuchinjia baharin wanategemea tuishi vip xaxa dah hii tanzania
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,843 Reaction score 4,796 Sep 21, 2012 #5 dy/dx said: hawapati mkuu... Click to expand... kivipi mkubwa na 0% ndo inakuwaje.
gbrother JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 408 Reaction score 51 Sep 21, 2012 #6 thesym said: kivipi mkubwa na 0% ndo inakuwaje. Click to expand... 0% anapata sema no loan hapati, nadhani unaelewa utofauti wa 0% na no loan
thesym said: kivipi mkubwa na 0% ndo inakuwaje. Click to expand... 0% anapata sema no loan hapati, nadhani unaelewa utofauti wa 0% na no loan
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 118 Sep 21, 2012 #7 jipangeee