Ninatumia modem ya voda kwa mitandao yote lakini kutokana na matangazo ya airtel kuwa leo ijumaa hadi jumapili internet ni bure kwangu imekuwa sio hivyo jamaa wanakula hela tu sijui kwa wenzangu ni vipi au ukitumia modem isiyo yao wanakata hela hapo inakuwaje msaada jamani
Nimeckia ni kuanzia saa 5 ucku hadi saa 12 asubuh coz hata tangazo cjalickia,ila rafiki yangu ndio kaniambia hvyo.