Hawa jamaa ni waukweli au wapigaji..?

Wako vzr,lkn kitu kinavyoonekana kwenye picha Ni tofauti kwenye uhalisia!vinginevyo mm huagiza na kupata nidhaa kwa wakati na unaletewa mpk ulipo
 
Salaam kwako mkuu...
Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na jamaa wanajiita KiKUU ni wauzaji wa bidhaa mtandaoni.

Nahitaji kununua bidhaa kwao, je, ni waaminifu au ndiyo wale wale, ukilipa umepigwa?
Wako poa no longolongo mkuu nshafanya manunuzi kupitia wao fresh kbsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…