Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

Wewe ni wakusikitikiwa tu aisee,fixed mind mentality haiwezi kukufikisha popote,wake up,

Hao wanyama wanaowafuga wanapatikana Tz tu Dunia nzima Eeh!
Wewe ndiye wakusikitiwa unaye kalili maisha,hivi unazani waarabu wote wa Dubai ni matajiri, wenzetu wanakuonyesha kila wanachotaka ww uone,acha kuwa rigid kama tofali.

Sasa unabishana mpaka na hali halisi kwani wanao miliki vitalu vingi vya uwindaji Tanzania ni wakina nani?

Kweli wanapatikana dunia nzima na ukae ukijua Tz ni moja ya nchi ambayo kuna usafirishwaji haramu wa wanyama mfano Twiga na waarabu ambao ww una mahaba nao ndio wame dominate kwenye kumiliki vitalu.
 
kwa hiyo wewe unaamini kabisa ndani ya akili yako kuwa waarabu wanatoka kwao wanakuja huku kwetu kuiba chui? kama vile Selemani anavyokwenda kukwapua simu ya mtu kariakoo?
Husipo amini ni ww na swala imani ni utashi wa mtu, ila hao warabu ndio wamedominate upande wa kumiliki vitalu Tz.
 
Umewahi kufika Dubai? Au ndio mnaongopeana hapo kwenye kijiwe chenu cha Bodaboda hapo chini ya Muembe? Tembea ujionee acha kujifungia.
 
Sisi waafrika tunaiba kwa sababu hatuna uhakika na kesho kwa maana bahati haiji Mara mbili
 
Umewahi kufika Dubai? Au ndio mnaongopeana hapo kwenye kijiwe chenu cha Bodaboda hapo chini ya Muembe? Tembea ujionee acha kujifungia.
So Dubai wote matajiri au ulikuwa afisa wa sensa Dubai,ukazunguka Dubai nzima.

Uzuri hatujuani na siwezi kukulaumu kwani ww mwenyewe umeamua kukikalilisha kichwa chako,ila mimi sio Limbukeni kama ww
 
Arabs maarifa hawana ila mpunga wanao
Asians hawana utajiri ila wana determination
Wazungu wana maarifa
Waafrika tuna rasilimali ila hatujui tufanyaje ila si haba madushe makubwa na wanawake wenye mashape ya hatari

Arabs hawana maarifa ? aisee huo mpunga waliupataje kama si kwa kupitia hayo maarifa?
 
So Dubai wote matajiri au ulikuwa afisa wa sensa Dubai,ukazunguka Dubai nzima.

Uzuri hatujuani na siwezi kukulaumu kwani ww mwenyewe umeamua kukikalilisha kichwa chako,ila mimi sio Limbukeni kama ww
Hakuna nchi yeyote Duniani ambayo watu wake wote ni matajiri,wala hakuna sehemu ambayo nimesema hivyo,hata huko Bongo kuna watu wanaishi vizuri kuliko hata ambao wamepigika wanaoishi US,naona hujaelewa hata ninachokisimamia.
 
Sijaelewa au ww mwenye umesahau mpaka ulicho kieleza ww mwenyewe na inawezekana hata hujui ulipo simamia.

"Mawazo ya kimasikini haya,hao Dubai au unaweza kuita UAE wana hela wala sio kua eti ndio waje wapate hela kwa hiyo Bandari tu,wananunua team za soka huko Ulaya kama wananunua karanga,jana Man City kabeba UCL kwa uwekezaji wa hao hao Waarabu"

Maana kwa vigezo ulivyo viandika,unajiamini kwamba hawawezi kutupiga, ndipo ninapo pingana na ww,wakati zipo biashara kibao haramu za wanyama na viungo vyao zinazofanyika Tz,so KWA MIMI lazima niwe na wasiwasi nao,sababu kuna scenario kibao za wanyama kusafirishwa bila kufuata utaratibu na wao ndio wamedominate upande wa kuwa na vitalu vingi.

Nchi kuwa na uchumi mzuri haina maana kwamba hawezi kukuibia, kama hujui sasa hivi dunia nzima inakimbilia resources za Africa,China,US,Russia,UK na Turkey nk wana andaa makongamano kila mwaka kuzialika nchi za Afrika ili wajiatach Afrika.Hii haina maana kwamba wanakupenda,kwani hao wote wanaangalia maslahi yao na nchi zao na sometimes wako tayari hata kutumia njia zisizo halali ili mambo yao yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…