Mawazo ya kimasikini haya,hao Dubai au unaweza kuita UAE wana hela wala sio kua eti ndio waje wapate hela kwa hiyo Bandari tu,wananunua team za soka huko Ulaya kama wananunua karanga,jana Man City kabeba UCL kwa uwekezaji wa hao hao Waarabu,
Jichange hela ukatupie jicho Dubai,utakuja kudelete hiyo comment yako.