Hawa jamaa wa online survey waongo. Huwa hawalipi ukiwafanyia survey

Hawa jamaa wa online survey waongo. Huwa hawalipi ukiwafanyia survey

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu mlioingia kwenye huu mtego wa kuwafanyia survey hawa jamaa online tukutane. Email zao wanasema wanalipa nusu dollar ukimaliza lakini ukifanya hamna unachopata.

406022A7-CEBF-4141-9F1C-8212B846101C.jpeg

 
Mkuu unataka ulipwe kwa kuulizwa unamiliki usafiri gani.?
 
Back
Top Bottom