TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Katika purukushani zangu mitaani nimekumbana na hawa jamaa.
Wanaongoza sana kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana/wanawake;-
Vinyozi hawa wanawanasa sana mabinti kwa mapowder na kuchonga nywele
Madreva tax hawa wanawanasa sana wake za watu nipeleke sehemu flani jamaa anaimba huko huko
Wasagisha mashine hawa nao balaa mahouse girl hapa huwa hawachomoki hata wake za watu
Konta wa daladala hawa nao dah mambo ya staff kwa mabinti ni balaa
Madereva wa malori hawa jamaa kila kituo atakapo funga break amewekeza
Wauza chipsi dahh hawa jamaa kwa gear ya zege na kidali wanamega sana
Wauza genge jamani jamani usiombee awe mpemba atamega mtaa mzima