Hawa jamaa wanauwezo wa kukimbia na hii gari kutoka mkoa moja hadi mkoa mwingine

Hawa jamaa wanauwezo wa kukimbia na hii gari kutoka mkoa moja hadi mkoa mwingine

prophet_tz

Senior Member
Joined
Feb 14, 2022
Posts
176
Reaction score
302
Kwa ulinzi wa Rais wa korea kaskazini bwana kiduku Leo tutajaribu kuzungumzia ukakamavu walionayo walinzi wake....

hawa mabwana naskia wanauwezo wa kukimbia na hii gari kwa maana ya kuwekea ulinzi umbali wakutoka dar hadi morogoro ...

TAJA SIFA ZAO ZINGINE ...
Screenshot_20220406-192449_Twitter.jpg
 
Yaani Miuongo mengine haihitaji hata kufikiria.. yaani jamaa wakimbizane na gari kutoka Dar hadi Morogoro!

Speed ya huo msafara itakuwaje sasa!
 
Nasikia hao jamaa unaweza mkata shingo lkn bado Ana we tu... Ndio utapomsukuru rais kwa kukutanisha na bodyguards wa kiduku

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom