Hawa K24 vipi?

Magu

Senior Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
156
Reaction score
56
Ninaangalia Kenya's TV inayoitwa K24 kipindi kinaitwa connect, wadada wawili wajadili sababu za mwanaume kukojoa mapema wakati wa kufanya mapenzi (Premature ejaculation) na jinsi ya kufanya ili kuchelewa ili kuwaridhisha wanawake! je ni sawa kwa utamaduni wa mwafrika kujadili mambo kama haya publically?
 
inategemea na maadili ya eneo husika......
 
shida nini kama wametoa onyo kama inatakiwa kuangaliwa na watu zaidi ya 18 ages..hao wengine hayawausi kama na wewe upendi potezea tu..
 
Mkuu usiulizie maadili kwenye tv zetu siku hizi maana mchana kweupe wanaonyesha watu wanakiss french kiiss bila wasi wasi wengine wanaonyeshwa wanavuana nguo wanaingia kitandani mchana kweupe
Maadili hakuna
 
Hujalala?
 
kwa kizazi hiki swala la maadili limekua gumu kama somo la hesabu
 
inategemea na maadili ya eneo husika......
Mkuu I don't think if we have significant cultural diffentces between Kenya and TZA in such a way that it is okay in there while here is a scare.
 
in Kenya the watershed time is 22:00hrs so programs zenye adult content ni ruhsa muda huo
 
una choice ya kuhama channel... ndio maana walitengeneza remote control!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…