Hawa kweli ni wanangu?

Ilikupunguza ongezeko la machokoraa na vibaka mtaani naomba umlee huyo mtoto tena uache ujinga
jibu zuri sana hili MWENYEZI MUNGU akubariki uwe na hekima siku zote
 
Energy never lie hiyo nguvu inayokusukuma kuhisi umepigwa hiyo ndio KWELI.
 
Wewe ni fala,limbukeni,mzinzi na mpumbavu,endelea kulea hao malaika wa Mzinzi mwenzio
 
Mzee kapime DNA, maisha ya sasa yana gharama sana kulea mtoto, sio kama kipindi kile tunazaliwa tunaambiwa kila mtoto na riziki yake, mbaya zaidi kuna nyakati mwanamke atamuambia janaume lenye watoto wake kuwa wale mapacha ni wako ila acha jamaa alee utakuja kuwachukua tu baa, hivi mnawajua wanawake mnawasikia? Au mmesahau jamaa arusha juzi tu ile ajali ya wanafunzi, jamaa anajua anasomesha ni watoto wake mwisho wa siku mtoto kafariki msalaba umeandikwa jina la baba mwingine na msiba ukatengwa kwa huyo baba mwingine?

Jombaa usikubali kulea bao la mwingine utakuja kutoa mlio baadaye.
 
Walee,amekupa zawadi wachukue

Watakufaa baadae
 
Ilikupunguza ongezeko la machokoraa na vibaka mtaani naomba umlee huyo mtoto tena uache ujinga
Duhhh!
Majibu yako humu ni kama tulikuwa tunavuta wote kwenye vikao!
Tatizo hizi kenge hazihudhurii vikao halafu wanakuja kulialia humu
 
Jamaa, unatembea na kila mtu?
 
Msaada juu ya kupima DNA tafadhali waungwana
Tafuta Wakili (kama upo Arusha tuwasiliane) yeye ataandika barua ya kuomba kufanya vipimo. Kila sampuli utalipia laki moja pale kwa mkemia hapo una sampuli nne za kupimwa hivyo kuna laki nne ya sampuli. Bado sasa gharama ya Wakili husika hiyo inategemea na namna anavyotoza wateja wake.

NB: Majibu ya DNA sio mali yako bali ni ya Wakili na yeye ndio atawafahamisha yaliyomo. Mkienda siku ya kwanza mtapewa hiyo semina pale ofisi ya Mkemia. Usiwe na wasi wasii na kila la heri.
 

Ndugu yangu , chukulia useme wa wahenga “ Kitanda hakizai haramu “ watoto ni zawadi , mshukuru Mungu, chukua watoto Mungu amekupa utawafurahia baadaye !
 
USITUTAFUTIEEE LAANA HAPA JF WENGINE TUNA 50 PLUS KITANDA AKIZAI HARAMU TUNZA UJE KUTUNZWA WA NANI ULIWAHI ULIZA MZAZI KAMA WEWE N WA KWAKE N KWA NEEMA TU HAO WETU SIO WEWEE DUMBWIZOOO LIKO KOTÈ LEA BANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…