Hawa kweli ni wanangu?

Msaada juu ya kupima DNA tafadhali waungwana
Jikateeee kidole kidogo changanya na damu ya mwanao ya mguun ikitoka nyeusi Simo ikibaki nyekundu wakwakoo somotuuuu
 
Msilete huruma kwenye maisha ya watu. Akawapatie baba yao halali na mimi nikalee ambao ni wangu halali. So far sijaacha kuwalea mpaka sasa
Ndugu,

Mimba nyingi za mapacha huwa hazifiki full term. Mimi ni shahidi pia nimezaa mapacha baada ya wiki 32 tu hawakufika 36. Walikuwa premature sasa hivi ni warembo wa miaka 3.

Kwa hiyo miezi yawezekana ni damu yako kabisa. Lea watoto acha umalaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…