Hawa majambazi walijichanganya na hiki ndicho kilichowakuta

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Tukio hili limetokea South Africa kwenye barabara ya Witbank N12 eneo la Mpumalanga.

Abiria wawili ambao ni mume na mke wamepanda teksi . Kumbe teksi yenyewe ilikuwa na jamaa wengine+dereva. Kiuhalisia walikuwa kumbe ni majambazi na walifurahia kupata wateja ambao wangewaibia...

Lakini nae kumbe walijichanganya pakubwa .. abiria mwanaume akachomoa chuma ... Kilichowakuta hao jamaa utakiona mwenyewe kwenye hii video(GRAPHIC CONTENT)..💀💀💀☠️




Abiria alifanikiwa kupiga risasi ambapo mmoja alifia hapo hapo , mwingine alijeruhiwa na akakamatwa na mmoja alifanikiwa kutorokea kusikojulikana.

NB: kiukweli South Africa sio ya wanyonge

Video hii hapa ila inatisha kiasi👇
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna kucheka na mwizi. Hapo hata wao hawakujua wamebeba abiria mjanja.
 
Chuma zilie tu hakuna namna!

Kuna mazingira mengine yanakukuta mtu huna hata habari kama hivi kupanda gari na watu waliopo kazini,noma sana.
 
Sidhani kama una story kamili. Hiyo haionyeshi kwamba ni taxi. Pili unapandaje taxi ina watu wengine? Taxi bubu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…