technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kwahiyo ni msimu uliopita? Msimu ni msimu tu iwe mwanzo,kati au mwisho.Mapema sana kutumia neno 'msimu huu " mwanzoni mwa ligi
Kwa mbali nawaona Chelsea wanavyonunaManchester United: 2 Games
Lukaku - 3 Goals
Pogba - 2Goals
Martial - 2 Goals
Mkhitaryan - 4 Assists
Clean Sheet - 2
kweli hatari. walijidhihirisha pale walipocheza na madrid.Yaani wana score three goal within 4 minutes....
Tena goals ambazo ni hatari tupu.
.
Combination ya Pogba, Matic, Lukaku na wezie ndio imeiva sasa ....
waache tu,wataanza matusi pundeMapema sana kutumia neno 'msimu huu " mwanzoni mwa ligi