hahaha! kama mimi Mkuu, Mourinho nampenda sana kwa yale manjonjo yakeKimwili nipo chelsea,kiroho nipo kwa morihno
Zipe heshima timu zote.EPL timu ndogo inawezakuifunga timu kubwa vilevile.Jambo la maana ManUtd lazima kila mechi timu icheze kama fainali.Hizi tulocheza nazo ni miwa. Mimi main focus nataka nione tukicheza na big teams, Mou atachezesha vipi. Mana mambo ya kuja kucheza kama gemu ya super cup basi ata kama tutatwaa ubingwa sitofurahia.
Naomba Uefa watupange kundi 1 na madrid nataka nione tena kama tutacheza kwa woga au kwa kujiamini
Ndio maana EPL iko more entertaining than any other leagues, lkn sitofurahishwa ikiwa tutachukua epl uku ikiwa tumeperform vibaya dhidi ya big 5. Focus yangu ni uefa tena real madrid, huyu anankosesha usingizi kuliko timu yoyote ile ulaya. Ata nsipochukua uefa lakini madrid nae asichukue ndio ntaridhika, mana mambo ya madrid kuchukua back to back ni habari mbaya kwa epl teamsZipe heshima timu zote.EPL timu ndogo inawezakuifunga timu kubwa vilevile.Jambo la maana ManUtd lazima kila mechi timu icheze kama fainali.
Subirini wakikutana na leicenster mrudi tena humu mje mtupe habari
tulichekwa sana, ngoja tuwanyooshee wahusika mfano washika goboleMan u sasa ni juuu
kweli nimeamini wewe ni shabiki na si mshangiliajiMimi si mshabiki wa Man U ila ukweli lazima usemwe....hiki kikosi chao kwasasa ni Hatari kwakweli.
Ukiangalia kiungo kuanzia ukabaji na ushambuliaji wako vizuri aicee.
vichekesho