Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ya huku yanapitiliza,mtu anashika katikati ya uwanja refa anaweka tuta!!!![emoji24][emoji24][emoji24]Kazi ya uwamuzi ni miongoni mwa kazi ngumu sana.
Siwatetei waamuzi ila tusiwalaumu kupitiliza maana hata wenzetu walioendelea kuliko sisi wameliona Hilo ndio maana wamefunga VAR