Inasikitisha sana inapofikia hatua mashabiki kwenda kumfanyia vitendo kama hivi kiongozi wa timu, tena Mzee Dalali ambaye uongozi wake alijitahidi sana.
Mbaya zaidi, sababu yenyewe ya kumfanyia vitendo vya kufedhehesha kiongozi wao na mbele ya familia na majorani inapokuwa ni kufungwa na Mtani wao.
Ni mambo ya kufedhehesha sana. Haitakiwi soka letu lirudi kule.