danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 1,984
- 4,502
Nimemsikia Kitenge anasema hapa kuwa uwanja wa Taifa umejaa mpaka mashabiki wengine wameingia uwanja wa Uhuru, swali langu je hao mashabiki nao walinunua tiketi au walipewa ofa tu? Na kama walinunua tiketi iweje wakose nafasi? Au tiketi ziliuzwa nyingi kuliko idadi ya watu wanatakiwa kuwepo uwanjani?