Hawa mashabiki wangeweka mzigo (betting) wangevuna hela

Hawa mashabiki wangeweka mzigo (betting) wangevuna hela

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Hao watatu walisema Simba itashida 3-0. Huyo mmoja naye akasema Jenerali Moses Phiri atafunga goli.
Yote hayo yametokea

1664780858219.png
 
Kuna shamba nakodisha kilimo cha matikiti kitakutoa mkuu ni hapa tu jangwani
 
Back
Top Bottom