Uwezo wao wa kuchanganua mambo kwa kina ni mdogo sana ndiyo maana wanatoa kauli ambazo zinaonyesha wazi kwamba wanatumiwa na kundi la watu wachache ili wakidhi matakwa yao.
hakuna si kweli hawatumiwi na mtu yeyote hawa masheikh, na uwezo wao wa kuchanganua mambo si kama unavyofiki kuna maprofessor walikuwapo pale Diamond, walichoongelea ni hatari ya nchi kugeuzwa katika mfumo Kristo, sababu sasa Maaskofu ndo wamejifanya remote control ya serikali na kufikia kumtambua Mayor fulani na kutomtambua huyu, kulaani mauaji yalotokana na maandamano kinafiki! hawa Maaskofu walikuwa wapi kulaani mauaji ya Watanzania walouawa Mwembechai na Zanzibar? au sababu hawa hawakuwa wafuasi wa CHADEMA? Isitoshe tumeoneshwa na TBC1 leo chanzo cha mauaji yale ni viongozi wa CHADEMA kutoa maneno ya uchochezi na kupandisha mihemko ya wafuasi wa CHADEMA. Acha udini wewe!