Hawa mbona hawaeleweki? office zao ziko wapi?

Hawa mbona hawaeleweki? office zao ziko wapi?

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
200
Wadau mwenye kuijua hii kampuni ilipo ni maeneeo gani mana nataka kupeleka CV yangu kama walivyosema hapo kwenye tangazo lao lakaini hakuna pgysical adress sasa tupeleke wapi CV?
inanipa mashaka hii kampuni sijui kama sio wale matapeli, kwanza hawana domain wanatumia rocketmail, afu maelezo yao hayajitoleshelezi,
mara aya kwanza walitangaza hizo nafasi lakini hawakutoa email yao, wakataka tuapplu kupitia zoom, nikawapotezea mana najua zoom ni kudisclose CV za watu, na hii waliotoa sasa inaonekana haiko active mana nimetuma email imefeli
Msaada wadau
MAELEZO YAO HAYA HAPA:
The company needs someone to start soon, please if possible bring your CV with you read to do an interview. Interested candidates may apply with application and CV direct to the Email Link Above or h.iresearchcompany@rocketimail.com
 
Back
Top Bottom