Kuna mkaka jirani anatembeaga na dubwasha la dawa za najumban nkamwomba apige nyumba nzima na nje hakika hata panyaaa wa saananee hawapoootenaaa maana walikuwaa wakitembeea kama watu asbh kinaumana na shemeji yenuUlipiga dawa gani kuondoa mijusi?
KumbeRobonese
Ndio nawafaham si wale wanagegedana huku wanakimbia.Unawafahamu majini
Sasa huyo mkaka jirani mwenye dubwasha mi nampataje huku moshi?Kuna mkaka jirani anatembeaga na dubwasha la dawa za najumban nkamwomba apige nyumba nzima na nje hakika hata panyaaa wa saananee hawapoootenaaa maana walikuwaa wakitembeea kama watu asbh kinaumana na shemeji yenu
Toka yaondokee hata ndoaa nafaidi
Duuuh hii kali sana msifanye watu waone hii nikazi wanayo weza kufanya ikaendesha maisha na mafanikio.Sasa huyo mkaka jirani mwenye dubwasha mi nampataje huku moshi?
Mkuu za watuuu na jamaa alishatoa onyo mbuzi atakaekufa tumboo la aliemuua litapiga kelele kama mbuzi maisha yotee unaweza mkuu...Kama nimbuzi mkuu! Niuzie hiyo nyumba niko tayari kukuvua kwani mbuzi wana baraka sana achilia mbali supu ya mbuzi ilivyo kua ya thamani kiafya.
Mkuu nikwakua sijafahamu ulipo ila kifupi nahakika hiyo dawa alikuja kuchukua kwangu.Mkuu za watuuu na jamaa alishatoa onyo mbuzi atakaekufa tumboo la aliemuua litapiga kelele kama mbuzi maisha yotee unaweza mkuu...