sure ni moja ya hazina za jf
Kwaiyo-kwa hiyoWanafunzi wa secondary woote, kwaiyo hadi shule zifungwe warudi home..... si unajua boarding school hawakubari simu???
chakorii she's enjoying the perfect moment Dar es salam outthereBro where is Chakorii..
aseeehKwaiyo-kwa hiyo
Hawakubari-hawakubali
chakorii she's enjoying the perfect moment Dar es salam outthere
Nonooo brother I think there is problem.
Last seen yake ni Agust mbaya zaidi hata kwa simu haparikani Hv unaweza jua tatizo?
Niniiaseeeh
wala nimekuona tuNinii
Umenionea niniiwala nimekuona tu
kikojoleo... ukuje basiUmenionea ninii
Haki tena haha
hahaha..... huyu mtoto wa huko kwako anamaswali ya kuchetua... si unaona alichoniuliza lakini
Hii id imehakiwa etkikojoleo... ukuje basi
hahahahahahahahahaahπππππππHaki tena haha
ππππππππ tehe tehehahaha..... huyu mtoto wa huko kwako anamaswali ya kuchetua... si unaona alichoniuliza lakini
DaahNi kama wasanii wa bongo fleva.Hao washakuw wakongwe.Sahiv kuna underground(kina Joseverest)
Money Penny
Daby
Nifah
miss chagga
Miss Natafuta
FaizaFoxy
STUNTER
@HR666
mahondaw
Lala 1
Monday
The bold
Evelyn Salt
Bujibuji
Istanbul
buzi lisilochunika
@ etc
Nk hawa ni baadhi ya member wachache waliokuwa wanalichangamsha jukwaa hakika kukosekana kwao pengo linaonekaba