Hawa nao ni matapeli?

Maayo

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
317
Reaction score
48
Mambo wana JF! Mim ni member mpya nimejiunga nanyi ili nipate mawazo na ushauri wenu. Katka pitapita yangu nimekutana na issue ambayo mpaka sasa siielewi vizuri. Nikahc pengne ndio wale matapeli wa mtandoni niliowah kuwasikia. Chek www.wjames.350.com.
 
ungeiweka kama link mkuu kwani wengine tunatumia simu..
 
Ina shida gan?i mbona naona iko poa..
Ni kwamba nilituma E-mail nikatakiwa kutma picha nikafanya hvyo, wakaniomba niwapokelee baadhi ya vifaa vyao ambavyo vilikosa mtu wa kuvipokea. Nilipokubal nikatumiwa sms na kampuni ambayo walidai vifaa hvyo vimetumwa hlf nikatakiwa kulipia sh. 84,000 ndio nivpate. Nikasita kufanya hvyo nikahc ndio walewale.
 
Hapo hamna haja ya kuuuliza swali, ni walewale mzee. Mjini hapa....watu wanavaa suti usifikiri wote wana makampuni ya biashara..wanapata hela kwa vilaza kama wewe usiyejua kama hata hao ni matapeli..
 
Achana nao hao, hawana nafasi yoyote ya ajira kwako ila wanakufanya wewe ndo muajiri wao (unawalipa),vitu hivy vipo vingi kuwa makini
 
Achanen na Matapeli ao..kuna jamb zngu waliibiwa bla kujijua..jamaa alijdai Mfanyakaz wa MKAPA FOUNDATION,akawahd vjana kazi,kila mtu lak3..wakaja kujikta ka vjana 15 washatapeliwa,na waschana kuliwa uroda,jamaa alikuwa na namba feki hazjasajiliwa...bahati alijsahau akatmia namc ya mkewe kupokelea MPESA,vijana wakamsaka mke,jamaa akakmbia familia mpaka leo...hela wakaibiwa na kaz hamna..jamaa anaitwa ANDREW BONIFAS NJILE...Na haijulikan yu wap japo anatafutwa.Vijana jhadharin na matapeli ktk kipind hk kigumu cha kutafuta maisha na kazi.MUWE NA SUBRA MUNGU ATAWAJALIA
 
Ngaliba umenitisha kweli! Da! Ila nashukuru nilishtuka mapema so sijatapeliwa.
 


kaka wanigeria hao, ni wezi wakubwa hawa wala usikubali kirshisi mail/sms inahusu hela utajuta na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…