Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwandishi wa habari anayetumia taaluma yake ipasavyo tanzania hii, woote wababaishaji, wamejawa na ushabiki na njaa tupu. Siwapendi
Mnafiki tu hana issue zee zima hovyooo eti anajicompare na Larry King wa CNNMasakuu walimpiga chini kura za maoni naona anabembeleza apewe favour ya presdaa au anjipanga tena kwa twent fifteeeeeeeeeeeeen!!
Mnafiki tu hana issue zee zima hovyooo eti anajicompare na Larry King wa CNN
Hapa tanzania hatuna waandishi bali maripota
huko ni kulinganisha rungu na ak-47........nicampoon tu huyu masakuu
hahahaha nimeipenda hii...hii ndo saizi yake..yaani masako ni kama rungu tuu anataka jilinganisha na ak 47 ahahahahahahahahaha saaafi....pomole yule..
Masakuu walimpiga chini kura za maoni naona anabembeleza apewe favour ya presdaa au anjipanga tena kwa twent fifteeeeeeeeeeeeen!!
Hakuna mwandishi wa habari anayetumia taaluma yake ipasavyo tanzania hii, woote wababaishaji, wamejawa na ushabiki na njaa tupu. Siwapendi