Ni kukosa busara kujadili picha ambayo haina maelezo ya kina kuhusu mahali na sababu ya waandishi hao wa habari kuwa pale, vinginevyo ni kufisadi fikra za watu
Huyu ni kada wa ccm jamani msimwadhibu ukimkuta anakitetea ni kwamba atatekeleza majukumu yake. Ajira yake iko magazeti ya serikali yaani uhuru na daily news