GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Maafisa wa Polisi nchini Kenya wameingia katika mitaa mbalimbali ili kukabiliana na mamia ya waandamanaji katikati mwa jiji la Nairobi.
Waandamanaji hao wamedai lengo la maandamano hayo ni kutaka mageuzi yafanyike katika mfumo wa usimamizi wa rasilimali za umma, na haki kwa wenzao waliouawa.
Chanzo: itvtz
Mlitaka jambo fulani Kubwa na Muhimu lifanyike na angalau limefanyika sasa badala ya hata kumpa muda kidogo mliyekuwa mnagombana nae ili atulie na ajipange nyie mnakuja na mengine tena. Kwakweli mwanzoni GENTAMYCINE nilikuwa nanyi, ila sasa nitashukuru Polisi wenu wakiwafunua Ubongo kwa Risasi.
Mnaboa sasa na hii kamwe si dalili nzuri kwa Afya nzima ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nahisi kuna Mpumbavu na nchi fulani za Magharibi zinawatumia hawa.