Hawa ndio JB achan na yule bonge wenu

kuna mmoja anaitwa JW. JOHN WICK nii shida huyo mtu
 
kuna mmoja anaitwa JW. JOHN WICK nii shida huyo mtu
"dady why are u afraid of him is he the boogeyman"

"-no he is not...he is the one who killed boogeyman"


nasubiri ya tatu nione mziki wake
 
Mkuu hiyo Mitambara yote ni noma,Jamaa namkubali sana.
 
Namuona mzee wa mirror hapo na 24
 
Mkataa kwao mtumwa..mnahusudu sana vtu vya watu kuliko vyetu..acheni shobo..home sweet home kwanza
 
BAD thing ni kuwa zote nimeziona, huyo mtu ni habari nyingine, ni mchaka mchaka mwanzo mwisho, nafikiri zaidi ya ule wa kwenye B13.
 
Ni 24 hrs. 24 legacy ilitoka season moja tu kifo cha mende. Nilifurahi kumuona jamaa anaitwa Tony Amelda
Hii 24hrs huwa inanishinda kabisa kuangalia naona inaniboa! Nyie mnawezaje?! Au nianzie season ya ngapi?
 
Hii 24hrs huwa inanishinda kabisa kuangalia naona inaniboa! Nyie mnawezaje?! Au nianzie season ya ngapi?

Dah 24 haina mpinzani.....hii kitu ilinifanya nichelewe kula na kulala!! Kuna wakati na wewe unajikuta kama agent kwa kuweza kutambua nini kitatokea maana unajiona ni member wa CTU au state house. [emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…