Hawa ndio mademu wa siku hizi

Uyu jamaa anahitaji msaada WA kisaikologia, Yeye kila siku Ni wanawake Tu.Tena kwa kulalamika Tu,awanaga zuri kwake

Msaada uku jamaani.tutampoteza uyu kondoo kwa stress
 
Mkuu hawa ni mama zetu, lakini wanapokwenda wrong lazima tuwaambie
 
Na kwa waganga wanapishana wao.... Khaaa...!!!... Watatuuwa hakya mungu....
 
Mkuu.. mimba wanapata sana tu ila wanatoa kinaz, inabidi kuwachukulia RB police mapema akipata mimba tu ili akifanya abortion unafungua kesi mahakamani, waswekwe ndani 30yrs.
 
Watasema imetoka wakati anateka maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…