GOLD BOY JF-Expert Member Joined Jun 9, 2023 Posts 387 Reaction score 490 Feb 9, 2024 #1 Madegree ya kwenye makaratasi tu, udsm tunamaprofesa na maphd ya injinia lakini wawajawahi kutengeneza ata wembe tu [emoji1787][emoji1787], ata hako kamewashinda kweli aisee afu unataka mm niwe innovative kivipi?
Madegree ya kwenye makaratasi tu, udsm tunamaprofesa na maphd ya injinia lakini wawajawahi kutengeneza ata wembe tu [emoji1787][emoji1787], ata hako kamewashinda kweli aisee afu unataka mm niwe innovative kivipi?
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Feb 9, 2024 #2 Hatari sana Mkuu. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
2 of Amerikaz most wanted JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 1,328 Reaction score 3,718 Feb 9, 2024 #3
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 9, 2024 #4 pombe mbaya sana kwa jamii ukichanganya na njaa.bora ungesema saa ya mkononi ya kujaza funguo
GOLD BOY JF-Expert Member Joined Jun 9, 2023 Posts 387 Reaction score 490 Feb 9, 2024 Thread starter #5 Kaka yake shetani said: pombe mbaya sana kwa jamii ukichanganya na njaa.bora ungesema saa ya mkononi ya kujaza funguo Click to expand... Tutengenezee kama utaweza
Kaka yake shetani said: pombe mbaya sana kwa jamii ukichanganya na njaa.bora ungesema saa ya mkononi ya kujaza funguo Click to expand... Tutengenezee kama utaweza