Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
hebu waambie hao hakuna mtoto wa kishua kunizidi mimi kwangu laki si pesa, milioni pocket money
King Crazy GK mtoto wa Upanga mbona hayumo kwenye list? Niliwahi kusikia mtoto wa Kishombishombi nae kuwa hapigi muziki kwa shida namaanisha Bob Junior na kwamba mzee wake yuko Europe, au mtoto wa kishua lazima awe na baba mkubwa serikalini? Mtu ambaye yuko well off nae siyo wa kishua?Hujamweka Gk ww umekalilishwa
Gk wakishua kivipi wakati mganga njaa tu. Mama yake alikua anasota na chaki pale tambaza na vyuo uchwara mpaka alipopigiwa pande na mwanafunzi wake mnyika na kupata ubunge wa kupewa. Viti maalum
luluDiamond
Nature
Jaydee
Temba
Wolper
I thnk these [emoji120] [emoji120] [emoji120] fits most in this occasion, do u gat me, Valentina?!![emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kumbe na Mama Ubaya naye yumo ndan kwny list.. Kwel, ko kufukuzwa kwny nyumba ya kupanga, mnada wa range zote kiki nin jamen, ama tuseme #kissBy Wemasepetu anatoka familia yenye uwezo wa kula, kulala pazur na.. Bas ndo yameisha
Naah!I thnk these [emoji120] [emoji120] [emoji120] fits most in this occasion, do u gat me, Valentina?!!
ahaahaahahahahhahahhaha.....aiseeee,umenchekesha sanaumemsahau juma nature hapo
Ongezea hapo: Lulu, Joyce Kiria, Hoyce TemuDiamond
Nature
Jaydee
Temba
Wolper
Dah,Juma uyu wa TMK,asante mkuu.Nimecheka sana.umemsahau juma nature hapo
huku sasa ni kumkosea heshima juma nature!umemsahau juma nature hapo
Ahsante kwa ufafanuzi..Kuna uongo mwingi tunalishwa hapa JFHuyo lucci kakulia arusha hiyo obey ameijua akiwa na miaka 20 mana walihamia dar 2006 baba yke alipoteuliwa kua dc,huyo nisha nae walewale 2007 baba yake alikua na ki celica kibovu ndio dogo alikua anaendesha mitaa y kisongo maisha yao yameanza badilika 2010 so sio wa kishua huyo
Ahaaaaaaaaa kumbe badoDiamond na jaydee sawa hao wengine hawajatoboa bado