Hawa ndio mfano wa wana usalama wa bongo?

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Ni mambo ya ajabu afisa usalama wa taifa anajiingiza kwenye ugomvi wa madada yalioshindikana ya mjini kama Mange na Sinta.Huyu afisa kaabisha kazi ambayo ni nyeti.

Afisa gani wa usalama anajipambanua kiasi hiki,unatumia nguvu kumjua yeye ni nani? ni aibu sana kwa sekta nyeti kuwa na mtu kama hii.
 
Huyo ni Afisa usalama?Siamini,afisa usalama na ugomvi wa makahaba wapi na wapi
 
A bit strange to me! Kwani watu wanaofanya kazi usalama wa taifa hawana haki ya kununua kina dada poa? Nafkiri ni haki yake anapokua nje ya muda wa kazi! Kama hakuna alichoharibu, ni sawa! Yeye ni mwanaume, anatafuta huduma kama wanaume wengine!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi hapa naona chenga tu, huyu Afisa Usalama asiyekuw na jina tutamjuwa vipi? mbona Ramadhani Ighondu amewekwa wazi? hebu wekeni jina lake hapa nimfanyie screening na vetting upya.
 
Mimi hapa naona chenga tu, huyu Afisa Usalama asiyekuw na jina tutamjuwa vipi? mbona Ramadhani Ighondu amewekwa wazi? hebu wekeni jina lake hapa nimfanyie screening na vetting upya.
UKisoma ma udaku ya blog za madada hawa utamjua tu kama mwenyewe keshasema an akaa maghorofani makumbusho na dada moja limemtaja kabisa kaka wa usalama.Anyway muhimu sio story za mapashkuna ila ni upumbavu wa huyu mwanausalama
 
Jipange upya, hapa JF siyo sehemu ya kuleta habari nusunusu, weka jina la huyo ofisa usalama hapa. mimi huwa sina muda wa kutembelea hivyo viblog uchwara.
 
Huyo ni Afisa usalama?Siamini,afisa usalama na ugomvi wa makahaba wapi na wapi

kwikwikwikwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,, unajuaq mchawi akilogaaa saaaanaaaaa siku nyingine huwa anajisahau na anaanxa kuloga hata hadharani huyu dada na huyo mwana usalama walijifichaaa sasas waameamua kutushirikisha na ss tuyajue hayo madudu yaooo hiv amekosa mademu wakuwawelka kinyuma mpaka anaamua kukaa na huyo alieshindikana na amediriki kumkataa mtoto wa kumxa mwenyewe:yield:
 
Jipange upya, hapa JF siyo sehemu ya kuleta habari nusunusu, weka jina la huyo ofisa usalama hapa. mimi huwa sina muda wa kutembelea hivyo viblog uchwara.
Subiri nakutajia sasa hivi keep eye on
 
Afisa Usalama ni binadamu kama sisi sioni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…