Hawa ndio Most Female GreatThinker Jf nzima...

Mkuu jf intelligence yakupasa ujiulize mara zote kabla ya kuchangia kuna watu na kazi zao kila neno lina mtego ukikurupuka upo kwenye list bora kuwa mjinga kwa kusoma tu kuliko kuchangia alafu tuka...........
 
naunga mkono hojaaa.
√√√√√√√√√
 
Kunywaaa sodaaa kila mtu amepewa uwezo wake wengine walikuwa wwnafit kwenye somo la History wengine Math na wengine kiswahili tunatofautianaaaa
Akuu! "Nataka unipe ile kitu inamesa mwensie" sitaki soda. (in Masai's voice) Ahahaha

I wish siku moja unitunuku bumunda..I will be forever grateful and humbled maana unavyodadavua kule huwa naishia kukupigia master mawazoni tu. Loh!
 
How do you know are ladies labda?
 
Akuu! "Nataka unipe ile kitu inamesa mwensie" sitaki soda. (in Masai's voice) Ahahaha

I wish siku moja unitunuku bumunda..I will be forever grateful and humbled maana unavyodadavua kule huwa naishia kukupigia master mawazoni tu. Loh!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umeshachelewa kuna mtu analidadavua hili libumbunda kumbe huwa mnapita kimyaaa kimyaaaa
 
Empty set kabisa, kwa nini usiwasifie tu hao bila kuwaponda wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…