Elections 2010 Hawa ndio viongozi wa ccm

Duh, I am speechless !!
 
CCM wanaamini walizaliwa waongoze milele
 
Hii imetokea lini? Kweli Tanzaniz zaidi ya uijuavyo!
 
CCM wanaamini walizaliwa waongoze milele
Lakini uzuri wa huyu mbunge ameweka maslahi ya wananchi mbele zaidi ya chama.Michango yake ndani ya bunge na nje ya bunge imekuwa niya kuvutia.Kama mkuu wa mkoa naye angekuwa jeuri zingechapwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…