Hawa Ndio Waamuzi Wetu

Kwa hii match wenyeji walikuwa wanastahili na hata kama penalty haikuwa basi golikipa angejitahidi akaidaka kumaliza ubishi.
Pia niliangalia takwimu za match hizi timu zilikuwa zimelingana karibia kwa kila kitu na goli la ushindi ndilo liliondoa utata huu!

 
hapo lazima mzuka upande
 
Mwanaume akiwa anapigwa huku anakimbia anachukizaje.
Bora kukomaa tuu, ukitolewa ngeu itapona kuliko kukacha msala, aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…