Uchaguzi 2020 Hawa ndio wabunge wa jimbo la Moshi Vijijini na Vunjo

prince kyextcatted

New Member
Joined
Dec 12, 2013
Posts
3
Reaction score
4
Sijui ni ndoto ama lah ila hawa ndio wabunge wa jimbo la Moshi Vijijini na Vunjo. Japo lakini mimi sio mpiga ramli. Dr Kimei nimefanya nae kazi alikuwa boss wangu CRDB na Comrade Victor Tesha nimesoma naye secondary na chuo kikuu na kufanya kazi pamoja wote; najuwa ni watu wa namna gani ndio maana nawiwa kusema hivi.

Nawatakia kila la kheri.

Kwa kufanya kazi na mmoja wao na kusoma na mwingine, ndiyo kunawapa ubunge? Very interesting!

Kufanya nao kazi na kusoma ni kwamba nimepata time ya kuwajua personal, how good they are plus skills in management all in all they are good and deserve better
 
Kwa kufanya kazi na mmoja wao na kusoma na mwingine, ndiyo kunawapa ubunge? Very interesting!
Tesha aliangukia pua 2015 akawa watano. Pengine tusubiri mwaka huu ila anachuana na Professor Ndakidemi mwenye base jimboni
 
Inshangaza kuona kwamba bado kuna watu huko Moshi wanaishabikia ccm!
 
Kufanya nao kazi na kusoma ni kwamba nimepata time ya kuwajua personal, how good they are plus skills in management all in all they are good and deserve better
Sasa Kama unazijua hizo strength zao tuambie hapa?
 
Kimei alipaswa apumzike tu kulimda heshima aliyojijengea pale crdb na kwajamii nzima. Anakuma kitu katika Maisha yake. Hizi ndio tamaa na kutokuridhika anakokusema Rais Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…