Hawa ndio wachezaji mastaa watakaokosa kushiriki Kombe la Dunia 2018

Kuna issue nimeisikia kuwa Messi ana influence ya uchaguzi wa wachezaji nina wasiwasi asije mzibia Icardi maana nasikia Barca walimtaka jamaa akamzibia.
Messi fala sana,anataka dembele auzwe,anamzibia hata javier pastore timu ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…