Hawa ndio Wadhamini wa Singida Big Stars

najiuliza wataweza ku maintain kwa msimu ujao tena na kuendelea mbele zaidi any way kila la kheri
 
Hahaaaa
Hii timu sijui imepata wapi hela za kusajili Wabrazil wote wale! Bado benchi la ufundi!

Yaani ukilinganisha na kuongezeka kwa hizi tozo, kupanda kwa bei ya mafuta na ruzuku yake ya bilioni 100 kila mwezi!

Unaamua tu kujinyamazia.
 
Hahaaaa!!!naona kimba fc unaweweseka
Inafikirisha sana kama Singida United ilikuwa na wadhamini mpaka matakoni kama Makoloz lakini baada ya muda timu ikawa na Kukata wa ajabu sio wadhamini tu mpk wachezaji muhimu wakasepa na timu ikajifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…