Wakuu kuna watu humu jf wamepanda vyeo ama daraja kuanzia Leo Na kiukweli tumekuwa hatuwatendei haki hata kidogo kwa kuwaita wakuu!
Hawa watu wamekula chumvi nyingi tu
Uthibitisho ni kuwa kuna watu humu
Wamejiunga jf miaka ya 2008 mfano
Mshana Jr
Asprin
Mtimkavu
Heaven saint
Miss natafuta
Troll
Mondray
Stunted
Saint ivuga
Dady
Smart911
Generous
Esky lait
Shunie
Nyan ngabu
Dah! Orodha ni ndefu sana
Tusaidiane kuorodhesha member
Wengine ambao ni wahenga watu
Humu JF ili tuwape heshima yao
Tuwe tunaanza mfano asante muhenga.....badala ya mkuu....
Post sent using JamiiForums mobile app