MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Acha ujuaji unaambiwa huyo ni Jesus Christ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brian deacon
Acha vurugu mkuu huyo ni actor tu alivaa uhusika wa yesu ila yeye si yesu ni Brian deacon Kuna watu humu wanaakili punje wataamini yesu kweli..πAcha ujuaji unaambiwa huyo ni Jesus Christ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchizi kajaa kwenye masebule ya watuAcha vurugu mkuu huyo ni actor tu alivaa uhusika wa yesu ila yeye si yesu ni Brian deacon Kuna watu humu wanaakili punje wataamini yesu kweli..[emoji23]
hahahahaha kumbe inawezekana ni kweli Ndugai alikutana nao Galilaya bwana wengi tulimpinga ila Leo ukweli umejulikana!Namuona na mkewe kwa pembeni
kwa hisani ya SABUWUUFA NDUNGALI
ππKumbe kweli YESU alioa mnambishia speaker bure
Huyo hapo kulia kwa baharia[emoji23][emoji23]
Huyu huyu yesu wetu wa kkkt?Duuh wana wako na mwamba Jesus mwenyewe.