Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila picha Uzi haunogi.Hawa ndio waliochanganya udongo siku ya.muungano 1964 nao ni Bi. Khadija Abasi Rashid, Bw. Elisaeli Mrema, Bw. Hassan Omari Mzee na Bi. Sifael Mushi au mama Shuma kwa jina lingine
Wacha uwongo, mbona hatuwaoni?Hawa ndio waliochanganya udongo siku ya.muungano 1964 nao ni Bi. Khadija Abasi Rashid, Bw. Elisaeli Mrema, Bw. Hassan Omari Mzee na Bi. Sifael Mushi au mama Shuma kwa jina lingine
Kapicha mkuu sisi kina Thomaso tujiridhishe na kukuamini!Hawa ndio waliochanganya udongo siku ya.muungano 1964 nao ni Bi. Khadija Abasi Rashid, Bw. Elisaeli Mrema, Bw. Hassan Omari Mzee na Bi. Sifael Mushi au mama Shuma kwa jina lingine
NyerereHao walibeba mchanga/udongo, aliyechanganya ni Mwalimu Nyerere!
Ndio Hao wazee inabidi wakawafundishe Chadema faida za Muungano sababu akina Lisu husema hakuna ushahidi