Hawa ndio waliolivusha taifa kwenye hali zote toka tupate uhuru

Hawa ndio waliolivusha taifa kwenye hali zote toka tupate uhuru

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kundi la kwanza.

1.nyerere
2.mwinyi
3.mkapa
4.kikwete
5.magufuli
6.samia

Kundi la pili.
1.mzena
2.gama
3.kitine
4.mahiga
5.kombe
6.mwang'onda
7.othman
8.kipilimba
9.msuya

Kundi la tatu
1.Sarakikya
2.twalipo
3.kyaro
4.mboma
5.waitara
6.mwamunyange
7.mabeyo
8.mkunda

Huwezi kuisoma historia ya nchi hii bila mikono ya yao watu never never . Hata kama wengine hawatatajwa kwàsababu ya majukumu yao lakini hao ndio matop wa hii nchi.

Nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2023.
 
Kundi la kwanza.

1.nyerere
2.mwinyi
3.mkapa
4.kikwete
5.magufuli
6.samia

Kundi la pili.
1.mzena
2.kitine
3.mahiga
4.kombe

Wala bata wasiojua shida ni kitu gani
 
Kundi la kwanza.

1.nyerere
2.mwinyi
3.mkapa
4.kikwete
5.magufuli
6.samia

Kundi la pili.
1.mzena
2.gama
3.kitine
4.mahiga
5.kombe
6.mwang'onda
7.othman
8.kipilimba
9.msuya

Kundi la tatu
1.Sarakikya
2.twalipo
3.kyaro
4.mboma
5.waitara
6.mwamunyange
7.mabeyo
8.mkunda

Huwezi kuisoma historia ya nchi hii bila mikono ya yao watu never never . Hata kama wengine hawatatajwa kwàsababu ya majukumu yao lakini hao ndio matop wa hii nchi.

Nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2023.
Walioharibu wamo pia ktk hizo orodha, mbona hujawataja ?
 
Watu wa polisi hawahusiki? Mbona na wao kila uchao hawaachwi kutajwa wanachokifanya au walichokifanya? Iwepo na orodha ya polisi
 
Kawawa, Karume na wengine wengi waliochangia kwa kiwango kikubwa kwenye taifa hili
 
Kulivusha Taifa kivipi wakati maadui wetu wakuu bado wametamalaki?,UJINGA, UMASIKINI, MARADHI na cousin wao Rushwa?,why hadi leo walamba asali na familia zao wakatibiwe UK,India au SA na sio Mwananyamala Hospital?,upumbavu wa middle class kama mtoa hoja hii ndio mazuzu wenye uoga wa kizuzu,binafsi sioni mchango wowote ila wote hao ni wanufaika wa pie 🥧 ya taifa,mwanzilishi wa UPE hana hata mjukuu aliyesoma shule za UPE hivyo hivyo na wa shule za sekondari za kata (huu ni uchafu mwingine )
 
Wanawajibika kwà yote mazuri na mabaya maamuzi waliyofanya na wanayofanya sasa yote yana imapct aidha positive au negative kwà taifa letu.

Back
Top Bottom