Wala bata wasiojua shida ni kitu ganiKundi la kwanza.
1.nyerere
2.mwinyi
3.mkapa
4.kikwete
5.magufuli
6.samia
Kundi la pili.
1.mzena
2.kitine
3.mahiga
4.kombe
6.mwang'onda
7.othman
8.kipilimba
9.msuya
Kundi la tatu
1.Sarakikya
2.twalipo
3.kyaro
4.mboma
5.waitara
6.mwamunyange
7.mabeyo
8.mkunda
Huwezi kuisoma historia ya nchi hii bila mikono ya yao watu never never . Hata kama wengine hawatatajwa kwàsababu ya majukumu yao lakini hao ndio matop wa hii nchi.
Nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2023.
Walioharibu wamo pia ktk hizo orodha, mbona hujawataja ?Kundi la kwanza.
1.nyerere
2.mwinyi
3.mkapa
4.kikwete
5.magufuli
6.samia
Kundi la pili.
1.mzena
2.gama
3.kitine
4.mahiga
5.kombe
6.mwang'onda
7.othman
8.kipilimba
9.msuya
Kundi la tatu
1.Sarakikya
2.twalipo
3.kyaro
4.mboma
5.waitara
6.mwamunyange
7.mabeyo
8.mkunda
Huwezi kuisoma historia ya nchi hii bila mikono ya yao watu never never . Hata kama wengine hawatatajwa kwàsababu ya majukumu yao lakini hao ndio matop wa hii nchi.
Nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2023.
Mbona sijamwona Rostam hapo kwa list tunaambiwaga nae ni the King makerKama umeshawahi Kucheza draft au chase bàsi hao hapo juu ndio matop king makers game changers pure cream ya taifa letu.
Sana SanaUzi wa hovyo huu.
Kulivusha Taifa kivipi wakati maadui wetu wakuu bado wametamalaki?,UJINGA, UMASIKINI, MARADHI na cousin wao Rushwa?,why hadi leo walamba asali na familia zao wakatibiwe UK,India au SA na sio Mwananyamala Hospital?,upumbavu wa middle class kama mtoa hoja hii ndio mazuzu wenye uoga wa kizuzu,binafsi sioni mchango wowote ila wote hao ni wanufaika wa pie 🥧 ya taifa,mwanzilishi wa UPE hana hata mjukuu aliyesoma shule za UPE hivyo hivyo na wa shule za sekondari za kata (huu ni uchafu mwingine )