Yaani ukishakubuhu ndio unitafuteKumbe nina special place eeh? Sasa nishindikanaje?
Haha daahYaani ukishakubuhu ndio unitafute
ShikamooAiseee!!!
Marahaba.Shikamoo
Nilikuwa nakusalimia tu maana nakuogopa kweliMarahaba.
Kwanini unaniogopa?Nilikuwa nakusalimia tu maana nakuogopa kweli
Wewe hupendi kuogopwaKwanini unaniogopa?
Sipendi.Wewe hupendi kuogopwa
Basi tena ndio hivyo nakuogopa na sina sababuSipendi.
Haya.Basi tena ndio hivyo nakuogopa na sina sababu
Hivi hiyo makala ya kufungia mwaka tayari?Mwaka wako huu baba, am proud of you.
Jipange kabla ya kufunga mwaka utupatie makala murua na mwakani vilevile.
You got my back [emoji7] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni surprise subiri mwaya.Hivi hiyo makala ya kufungia mwaka tayari?
Kwani ile ya Carlos si ya kufungia mwaka??Hivi hiyo makala ya kufungia mwaka tayari?
Sio bwana. Ngoja nisubiri hiyo surprise mieKwani ile ya Carlos si ya kufungia mwaka??