Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Naanza na East Africa,Kuna wanamuziki ambao tangu niwajue hawajawahi toa ngoma mbovu msijichoshe sana wapo wawili:
Tanzania
Albert Mangwea[A.k.a Mimi] (R.I.P)
Huyu Jamaa hajawahi bahatisha,mbali na Akili nyingi nguvu kidogo,alikuwa na Akili ya kucheza na melody kama Kiroboto ila alikuwa ana jua kucheza na beats,na kuzimarinate anavyotaka,Kifupi Tanzania huyu Jamaa hatakuja tokea mwingine karibuni,alikuwa mbele ya muda kinoma
Skiza Demu wangu yupo na mox
Kenya
Nyamari Ongengu[A.k.a Nyashinski]
Huyu Jamaa nlianza mfuatilia kwenye Bad boy ya Mwanadada Amani,mchizi wakati huo yupo cleptomaniaxxx aliua kinoma kwenye Ile ngoma na ever sinsi hajawa toa ngoma mbovu hata Moja.
Jamaa ni mkali wa melody (Futuristic melodies)siyo hizi za ashuuu ashuuu.
Kifupi Jamaa ni kitu kingine Kenyan people should be proud.
Skiza perfect design