Hawa ndio wanaoongoza kwa utajiri Afrika

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
1. Aliko Dangote (USD 21.6 Bn). anatoka Nigeria. Ni Mwafrika pekee aliyeingia ktk top 50 ya dunia

2. Johann Rupert (7.3 Bn) anatoka Afrika Kusini

3. Nicky Oppenheimer (6.8 bn) anatoka Afrika Kusini

4. Nassef Sawiris (6.1 bn) anatoka Misri

5. Christoffel Wiege (5.4 bn) anatoka Afrika Kusini

6. Mike Adenuge(4.6 bn) anatoka Nigeria

7. Mohamed Mansour(4 bn) anatoka Misri

8. Isabela Dos Santos(3.7 bn) ni binti wa Eduardo Dos Santos, rais wa Angola

9. Isaad Rebrab (3.2 bn) anatoka Algeria

10. Naguid Sawiris (3.1 bn) anatoka Misri.

Katika orodha hiyo utaona hakuna Mtanzania au Mwana Afrika Mashariki ndani ya top 10.

Source: Jarida la Forbes
 
Kwa tanzania wakwetu hawako transparent, lakini ninamini watu kama RA watakuwa kwenye number 7..8 .. Wanaficha ficha sana
 
Huyu bibie Isabela sasa atakujaa juu vibaya maana Mzee amemkabidhi maswala yote ya mafuta.
 
kuna watu wana hela mbaya ila wametulia tulii
 
1. Aliko Dangote (USD 21.6 Bn). anatoka Nigeria. Ni Mwafrika pekee aliyeingia ktk top 50 ya dunia

2. Johann Rupert (7.3 Bn) anatoka Afrika Kusini

3. Nicky Oppenheimer (6.8 bn) anatoka Afrika Kusini

4. Nassef Sawiris (6.1 bn) anatoka Misri

5. Christoffel Wiege (5.4 bn) anatoka Afrika Kusini

6. Mike Adenuge(4.6 bn) anatoka Nigeria

7. Mohamed Mansour(4 bn) anatoka Misri

8. Isabela Dos Santos(3.7 bn) ni binti wa Eduardo Dos Santos, rais wa Angola

9. Isaad Rebrab (3.2 bn) anatoka Algeria

10. Naguid Sawiris (3.1 bn) anatoka Misri.

Katika orodha hiyo utaona hakuna Mtanzania au Mwana Afrika Mashariki ndani ya top 10.

Source: Jarida la Forbes

Mkuu tz hakuna watu wenye hela..tunajifariji tuuuuu....hao jamaa waliotajwa wana underground money chungu mbovu...ila zile ambazo zinaonekana zimewafanya wawe hapo....tz hatuna uwezo wa kugenerate pesa wenyewe mpaka tupige ufisadi...kwa staili hii huwezi pamabana na watu wanaofikiria kununua arsenal.....! kenya penyewe kuna matajiri ambao bidhaa zao zimefurika tz na hata hvyo wana export mpaka europe ila wametupwa mbali...uje ulinganishe na matajiri wetu wanaoweka wataalamu wa kujuana kisa wanatoka ukanda mmoja....wanaacha vichwa vyenye thinking capacity ya hali ya juu....matajiri wapo ila sio wa kupambana na level za akina isabela...unless wathink beyond the reality
 
1. Aliko Dangote (USD 21.6 Bn). anatoka Nigeria. Ni Mwafrika pekee aliyeingia ktk top 50 ya dunia

2. Johann Rupert (7.3 Bn) anatoka Afrika Kusini

3. Nicky Oppenheimer (6.8 bn) anatoka Afrika Kusini

4. Nassef Sawiris (6.1 bn) anatoka Misri

5. Christoffel Wiege (5.4 bn) anatoka Afrika Kusini

6. Mike Adenuge(4.6 bn) anatoka Nigeria

7. Mohamed Mansour(4 bn) anatoka Misri

8. Isabela Dos Santos(3.7 bn) ni binti wa Eduardo Dos Santos, rais wa Angola

9. Isaad Rebrab (3.2 bn) anatoka Algeria

10. Naguid Sawiris (3.1 bn) anatoka Misri.

Katika orodha hiyo utaona hakuna Mtanzania au Mwana Afrika Mashariki ndani ya top 10.

Source: Jarida la Forbes

Mkuu Yusuph Mehboob Manji hayupo au umemsahau tu?
 
bfd8d4c078a49fc06869896f779cac75.jpg

Hapo ni tajiri Alhaji Aliko Dangote alipowasiri mkoani mtwara.
 
Back
Top Bottom